Ni uamuzi wa kuchagua lugha moja au mojawapo wa lahaja za lugha na kuifanyia marekebisho ya kimatamshi, kisarufi, kimaana, kimaandishi ili iweze kutumika katika shughuli rasmi. Kusanifisha ni utaratibu wa.....
Sababu za kusanifisha Kiswahili
Kuwepo kwa lahaja nyingi za KiswahiliWingi huu wa lahaja ulitatiza sana mawasiliano katika shughuli za kibiashara, kielimu, n.k.ambazo zilihitaji kuelewa kwa lahaja moja ili kueleweka.....
Uteuzi wa lahaja ya kusanifishwa
Kabla ya kuchagua na kusanifisha lahaja Fulani kulikuwa na mjadala mkali ulioibuka katika mkutano kule Mombasa.Lahaja ya kiunguja na kimvita ndizo zilikuwa na uzito mwingi hasa wa maandishi kuliko lahaja.....
Kamati ya lugha na shughuli zake
Katika juhudi za kufanikisha upatikanaji wa maandishi kwa Kiswahili sanifu, nchi za Afrika Mashariki ziliunda kamati ya lugha iliyojulikana kama Inter- Territorial Language Committee mwaka wa 1930.Malengo.....